Mfumo wa Kisasa wa Biashara

Simamia Duka Lako
kwa Urahisi & Ufanisi

Mfumo kamili wa POS, Inventory, Ripoti za Fedha, na Akili ya Biashara — yote kwenye simu yako.

2
Maduka Yanayotumia
3,860+
Mauzo Yaliyofanywa
222
Bidhaa Zinazosimamia
24/7
Huduma Bila Kusimama

Kila Kitu Unachohitaji

Zana zote za kisasa kwa biashara yako — bila matatizo

POS — Mauzo ya Haraka

Fanya mauzo haraka, pokea malipo ya cash, M-Pesa, au credit. Risiti moja kwa moja.

Soma zaidi

Inventory Smart

Fuatilia stock kwa wakati halisi. Onyo la kuisha stock, dead stock, na mapendekezo ya reorder.

Soma zaidi

Ripoti za Fedha

Faida, hasara, matumizi, na mauzo — kwa siku, wiki, mwezi, na mwaka. Graphs nzuri.

Soma zaidi

Akili ya Biashara

ABC Classification, KPI Dashboard, Profit Ranking, na Inventory Health Score.

Soma zaidi

Usimamizi wa Wafanyakazi

Cashier, Staff, Manager — kila mmoja ana uwezo wake. Login tofauti, data salama.

Soma zaidi

Mobile Friendly

Inafanya kazi vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta. Bila app ya kudownload.

Soma zaidi

POS — Mauzo ya Haraka

Mfumo wa kisasa wa kuuza ambao unafanya kazi haraka kwenye simu yako.

CashM-Pesa CreditRisiti ya PDF
  • Tafuta bidhaa kwa jina, SKU, au scan ya barcode
  • Malipo ya cash, M-Pesa, au credit kwa wateja
  • Risiti inachapishwa au kutumwa papo hapo
  • Discount kwa mauzo na bidhaa binafsi
  • Historia ya mauzo yote kwa kila cashier
  • Batilisha mauzo kwa ruhusa ya manager
Anza Sasa

Weka App Kwenye Simu Yako

Moescience Shop inafanya kazi kama app ya kawaida — haraka, rahisi, na inahitaji intaneti. Hakuna haja ya kudownload kutoka App Store.

  • 1
    Fungua shop.moescience.com kwenye browser yako ya simu
  • 2
    Bofya "Pakua App" au fuata maelekezo ya simu yako
  • 3
    App itawekwa kwenye home screen — tayari kutumia!
Fungua Chrome kwenye simu yako ya Android
Nenda shop.moescience.com
Bofya menu (⋮) kona ya juu kulia
Chagua "Add to Home screen"
Bofya "Add" — imekwisha!
Fungua Safari kwenye iPhone yako
Nenda shop.moescience.com
Bofya Share button (chini ya skrini)
Chagua "Add to Home Screen"
Bofya "Add" — imekwisha!
Fungua Chrome kwenye kompyuta yako
Nenda shop.moescience.com
Bofya icon ya install (address bar kulia)
Bofya "Install Moescience Shop"
App itafunguka moja kwa moja!

Weka App Kwenye Simu Yako

Fungua Moescience Shop kama app ya kawaida — haraka, rahisi, inahitaji intaneti.

Kila Mtu Ana Nafasi Yake

Mfumo una ngazi 4 za uwezo — kila mfanyakazi anaona sehemu yake tu

Cashier

Mfanyakazi wa mstari wa mbele — anafanya mauzo haraka na kwa usalama. Hana uwezo wa kubadilisha bei au kuona ripoti za fedha.

  • Fanya mauzo kupitia POS
  • Pokea malipo — cash, M-Pesa, credit
  • Angalia mauzo yake tu (masaa 2)
  • Angalia stock ya bidhaa
  • Hawezi kubadilisha bei
  • Hawezi kuona ripoti za fedha
  • Hawezi kufuta mauzo
Cashier
Mauzo ya LeoAnaona yake tu
Kubadilisha BeiHairuhusiwi
Ripoti za FedhaHairuhusiwi
Kuhariri MauzoMasaa 2 tu
UsalamaLogin yake peke yake

Staff

Mfanyakazi wa kawaida — ana uwezo zaidi ya cashier. Anaweza kuona ripoti za msingi na kusaidia na inventory.

  • Mauzo yote ya POS
  • Angalia ripoti za msingi
  • Angalia na kusasisha stock
  • Kuhariri mauzo (masaa 12)
  • Ongeza bidhaa mpya
  • Hawezi kusimamia wafanyakazi
  • Hawezi kubadilisha mipangilio
Staff
Mauzo ya POSImeidhinishwa
Ripoti za MsingiImeidhinishwa
Usimamizi wa StockImeidhinishwa
Kuhariri MauzoMasaa 12 tu
WafanyakaziHairuhusiwi

Manager

Msimamizi wa duka — ana uwezo karibu wote. Anaweza kusimamia wafanyakazi, kuona ripoti zote, na kubadilisha mipangilio mingi.

  • Uwezo wote wa Staff
  • Simamia wafanyakazi
  • Ripoti zote za fedha
  • Kuhariri mauzo bila muda
  • Batilisha mauzo
  • Ongeza/hariri bidhaa na bei
  • Hawezi kusimamia maduka mengi
Manager
Ripoti za FedhaZote
WafanyakaziSimamia
Kuhariri MauzoBila mipaka
MipangilioMingi
Maduka MengiHairuhusiwi

Super Admin

Msimamizi mkuu wa mfumo — ana uwezo wa usimamizi wa kiwango cha juu. Anashughulikia uendeshaji wa kiufundi na ufuatiliaji wa mfumo wote.

  • Usimamizi wa akaunti na idhini za watumiaji
  • Ufuatiliaji wa utendaji wa mfumo (uptime, load)
  • Usimamizi wa maombi ya usajili wa maduka
  • Mipangilio ya kimfumo na integrations
  • Ufuatiliaji wa shughuli za kiusalama (audit logs)
  • Msaada wa kiufundi kwa maduka yaliyosajiliwa
  • Usimamizi wa subscription na huduma
Super Admin
Usimamizi wa AkauntiKamili
Maombi ya UsajiliImeidhinishwa
Audit LogsImeidhinishwa
Mipangilio ya MfumoImeidhinishwa
Msaada wa KiufundiImeidhinishwa
Duka Lako

Una Udhibiti Kamili
wa Biashara Yako

Kila duka lina data yake — salama na tofauti na maduka mengine. Unaona tu data ya duka lako.

  • Dashboard yako mwenyewe
  • Bidhaa na bei zako
  • Wafanyakazi wako
  • Ripoti za fedha zako
  • Notifications za duka lako
Duka Langu
Biashara Yako
Active
Mauzo ya LeoInaonekana kwako tu
Bidhaa za StockBidhaa zako zote
Faida ya MweziHesabu zako halisi
WafanyakaziTimu yako
Data Salama100% ya duka lako
📈 MAUZO YA WIKI — TZS
Fungua Duka Lako
Moescience Shop

Anza Leo.
Biashara Yako Inakungoja.

Jaza fomu — tutawasiliana nawe ndani ya masaa 24 kupitia WhatsApp au Email na kukusaidia kuanza.

  • POS ya haraka — mauzo bila mipaka
  • Inventory inayofuatilia stock kwa wakati halisi
  • Ripoti za fedha, P&L, na Cash Flow
  • Akili ya biashara — ABC, KPI, Health Score
  • Wafanyakazi bila mipaka — kila mmoja na nafasi yake
  • Support ya WhatsApp na updates za mfumo bure
  • Inafanya kazi kwenye simu yoyote — bila app
Bei inategemea ukubwa wa duka lako na mahitaji yako. Wasiliana nasi kwa bei maalum.

Fungua Duka Lako

Jaza fomu hii — tutawasiliana nawe ndani ya masaa 24

Weka App Kwenye Kompyuta

Fuata hatua hizi kulingana na browser yako

Angalia address bar ya Chrome — icon hii inaonekana:
shop.moescience.com
1
Bofya icon ya kwenye address bar kulia kabisa
2
Bofya "Install Moescience Shop"
3
Bofya "Install" — app itafunguka!
Icon haionekani? Chrome inahitaji utembelee site mara 2-3 kwanza. Funga tab na ufungue tena, au tumia Edge ambayo inaruhusu install mara moja.
1
Bofya menu ··· kona ya juu kulia
2
Chagua "Apps" kutoka menu
3
Bofya "Install this site as an app"
4
Bofya "Install" — imekwisha!
1
Firefox haiungi mkono PWA install moja kwa moja
2
Tumia Chrome au Edge kwa uzoefu bora
3
Au ongeza bookmark ya haraka kwa Ctrl+D